Marko 12:44 BHN

44 Maana wengine wote walitoa kutokana na ziada ya mali zao, lakini huyu mama, ingawa ni maskini, ametoa yote aliyokuwa nayo, ametoa kila kitu alichohitaji kwa kuishi.”

Kusoma sura kamili Marko 12

Mtazamo Marko 12:44 katika mazingira