Marko 14:1 BHN

1 Ilikuwa siku mbili tu kabla ya sikukuu ya Pasaka na ya mikate isiyotiwa chachu. Makuhani wakuu na waalimu wa sheria walikuwa wakitafuta njia ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila, wamuue.

Kusoma sura kamili Marko 14

Mtazamo Marko 14:1 katika mazingira