60 Basi, kuhani mkuu akasimama katikati yao, akamwuliza Yesu, “Je, hujibu neno? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?”
Kusoma sura kamili Marko 14
Mtazamo Marko 14:60 katika mazingira