Marko 14:61 BHN

61 Lakini yeye akakaa kimya; hakusema hata neno moja. Kuhani mkuu akamwuliza tena, “Je, wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu Mtukufu?”

Kusoma sura kamili Marko 14

Mtazamo Marko 14:61 katika mazingira