Marko 14:62 BHN

62 Yesu akajibu, “Naam, mimi ndiye. Tena, mtamwona Mwana wa Mtu amekaa upande wa kulia wa yule Bwana Mwenye Nguvu, akija katika mawingu ya mbinguni.”

Kusoma sura kamili Marko 14

Mtazamo Marko 14:62 katika mazingira