Marko 15:14 BHN

14 Lakini Pilato akawauliza, “Kwa nini! Amefanya ubaya gani?” Lakini wao wakazidi kupaza sauti, “Msulubishe!”

Kusoma sura kamili Marko 15

Mtazamo Marko 15:14 katika mazingira