15 Pilato alitaka kuuridhisha huo umati wa watu; basi, akamwachilia Baraba kutoka gerezani. Akaamuru Yesu apigwe viboko, kisha akamtoa asulubiwe.
Kusoma sura kamili Marko 15
Mtazamo Marko 15:15 katika mazingira