Marko 15:39 BHN

39 Jemadari mmoja aliyekuwa amesimama mbele yake alipoona kwamba Yesu alikata roho namna hiyo, akasema, “Kweli mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu!”

Kusoma sura kamili Marko 15

Mtazamo Marko 15:39 katika mazingira