40 Walikuwako pia wanawake waliotazama kwa mbali, miongoni mwao akiwa Maria Magdalene, Salome, na Maria mama wa kina Yakobo mdogo na Yose.
Kusoma sura kamili Marko 15
Mtazamo Marko 15:40 katika mazingira