41 Hawa walimfuata Yesu alipokuwa Galilaya na kumtumikia. Kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja Yerusalemu pamoja naye.
Kusoma sura kamili Marko 15
Mtazamo Marko 15:41 katika mazingira