Marko 2:16 BHN

16 Basi, baadhi ya waalimu wa sheria ambao walikuwa Mafarisayo walipomwona Yesu akila pamoja na watu wenye dhambi na watozaushuru, wakawauliza wanafunzi wake, “Kwa nini anakula pamoja na watozaushuru na wenye dhambi?”

Kusoma sura kamili Marko 2

Mtazamo Marko 2:16 katika mazingira