Marko 2:21 BHN

21 “Watu hawakati kiraka cha nguo mpya na kukishonea katika nguo kuukuu. Kama wakifanya hivyo, hicho kiraka kipya kitararuka kutoka hilo vazi kuukuu, nalo litaharibika zaidi.

Kusoma sura kamili Marko 2

Mtazamo Marko 2:21 katika mazingira