Marko 4:20 BHN

20 Lakini wengine ni kama zile mbegu zilizopandwa katika udongo mzuri. Hawa hulisikia hilo neno, wakalipokea, wakazaa matunda: Wengine thelathini, wengine sitini na wengine mia.”

Kusoma sura kamili Marko 4

Mtazamo Marko 4:20 katika mazingira