Marko 4:21 BHN

21 Yesu akaendelea kuwaambia, “Je, watu huwasha taa wakaileta ndani na kuifunika kwa debe au kuiweka mvunguni? La! Huiweka juu ya kinara.

Kusoma sura kamili Marko 4

Mtazamo Marko 4:21 katika mazingira