Marko 4:38 BHN

38 Yesu alikuwa sehemu ya nyuma ya mashua, amelala juu ya mto. Basi, wanafunzi wakamwamsha na kumwambia, “Mwalimu, je, hujali kwamba sisi tunaangamia?”

Kusoma sura kamili Marko 4

Mtazamo Marko 4:38 katika mazingira