39 Basi, akaamka, akaukemea ule upepo na kuyaamrisha mawimbi ya ziwa, “Kimya! Tulia!” Hapo upepo ukakoma, kukawa shwari kabisa.
Kusoma sura kamili Marko 4
Mtazamo Marko 4:39 katika mazingira