Marko 6:21 BHN

21 Ndipo ikapatikana nafasi, wakati wa sikukuu ya kuzaliwa kwake Herode. Herode aliwafanyia karamu wazee wa baraza lake, majemadari na viongozi wa Galilaya.

Kusoma sura kamili Marko 6

Mtazamo Marko 6:21 katika mazingira