Marko 6:22 BHN

22 Basi, binti yake Herodia aliingia, akacheza, akawafurahisha sana Herode na wageni wake. Mfalme akamwambia huyo msichana, “Niombe chochote utakacho, nami nitakupa.”

Kusoma sura kamili Marko 6

Mtazamo Marko 6:22 katika mazingira