Marko 6:33 BHN

33 Lakini watu wengi waliwaona wakienda, wakawatambua. Hivyo wengi wakatoka katika kila mji, wakakimbilia huko Yesu na wanafunzi wake walikokuwa wanakwenda, wakawatangulia kufika.

Kusoma sura kamili Marko 6

Mtazamo Marko 6:33 katika mazingira