Marko 6:34 BHN

34 Aliposhuka pwani, Yesu aliona umati mkubwa wa watu, akawaonea huruma, kwa sababu walikuwa kama kondoo wasio na mchungaji. Akaanza kuwafundisha mambo mengi.

Kusoma sura kamili Marko 6

Mtazamo Marko 6:34 katika mazingira