Marko 6:55 BHN

55 Basi, kwa haraka wakazunguka katika nchi ile yote, wakaanza kuwachukua wagonjwa wamelala juu ya mikeka yao, wakawapeleka kila mahali waliposikia Yesu yupo.

Kusoma sura kamili Marko 6

Mtazamo Marko 6:55 katika mazingira