Marko 6:56 BHN

56 Kila mahali Yesu alipokwenda, vijijini, mijini au mashambani, watu waliwaweka wagonjwa uwanjani, wakamsihi waguse walau pindo la vazi lake. Nao wote waliomgusa walipona.

Kusoma sura kamili Marko 6

Mtazamo Marko 6:56 katika mazingira