Marko 8:33 BHN

33 Lakini Yesu akageuka, akawatazama wanafunzi wake, akamkemea Petro akisema, “Ondoka mbele yangu Shetani! Mawazo yako si ya kimungu ila ni ya kibinadamu.”

Kusoma sura kamili Marko 8

Mtazamo Marko 8:33 katika mazingira