Marko 8:34 BHN

34 Kisha akauita umati wa watu pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, “Kama mtu yeyote anataka kuwa mfuasi wangu, lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.

Kusoma sura kamili Marko 8

Mtazamo Marko 8:34 katika mazingira