Marko 9:20 BHN

20 Wakampeleka. Mara tu huyo pepo alipomwona Yesu, alimtia mtoto kifafa, naye mtoto akaanguka chini, akagaagaa na kutoka povu kinywani. Yesu akamwuliza baba yake huyo mtoto,

Kusoma sura kamili Marko 9

Mtazamo Marko 9:20 katika mazingira