Marko 9:37 BHN

37 “Anayempokea mtoto kama huyu kwa jina langu, ananipokea mimi; na anayenipokea mimi, hanipokei mimi tu, bali anampokea yule aliyenituma.”

Kusoma sura kamili Marko 9

Mtazamo Marko 9:37 katika mazingira