Marko 9:38 BHN

38 Yohane akamwambia, “Mwalimu, tumemwona mtu mmoja akitoa pepo kwa kulitumia jina lako, nasi tukajaribu kumkataza kwa kuwa yeye si mmoja wetu.”

Kusoma sura kamili Marko 9

Mtazamo Marko 9:38 katika mazingira