Matendo 1:8 BHN

8 Lakini wakati Roho Mtakatifu atakapowashukieni nyinyi, mtapokea nguvu na mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, katika nchi yote ya Yudea na Samaria, na hata miisho ya dunia.”

Kusoma sura kamili Matendo 1

Mtazamo Matendo 1:8 katika mazingira