Matendo 1:9 BHN

9 Baada ya kusema hayo, wote wakiwa wanamtazama, alichukuliwa mbinguni; wingu likamficha wasimwone tena.

Kusoma sura kamili Matendo 1

Mtazamo Matendo 1:9 katika mazingira