Matendo 10:23 BHN

23 Petro akawakaribisha ndani, akawapa mahali pa kulala usiku ule.Kesho yake, Petro alianza safari pamoja nao, na baadhi ya ndugu wa huko Yopa walifuatana naye.

Kusoma sura kamili Matendo 10

Mtazamo Matendo 10:23 katika mazingira