Matendo 10:24 BHN

24 Siku ya pili yake walifika Kaisarea na huko Kornelio alikuwa anawangojea pamoja na jamaa na marafiki aliokuwa amewaalika.

Kusoma sura kamili Matendo 10

Mtazamo Matendo 10:24 katika mazingira