Matendo 10:36 BHN

36 Huu ndio ule ujumbe Mungu alioupeleka kwa watu wa Israeli, akitangaza Habari Njema iletayo amani kwa njia ya Yesu Kristo ambaye ni Bwana wa wote.

Kusoma sura kamili Matendo 10

Mtazamo Matendo 10:36 katika mazingira