37 Nyinyi mnajua jambo lililotukia katika nchi yote ya Wayahudi kuanzia Galilaya baada ya ule ubatizo aliohubiri Yohane.
Kusoma sura kamili Matendo 10
Mtazamo Matendo 10:37 katika mazingira