Matendo 12:11 BHN

11 Hapo ndipo Petro alipotambua yaliyotukia, akasema, “Sasa najua kwa hakika kwamba Bwana amemtuma malaika wake akaniokoa mikononi mwa Herode na kutoka katika mambo yale yote watu wa Israeli waliyotazamia.”

Kusoma sura kamili Matendo 12

Mtazamo Matendo 12:11 katika mazingira