Matendo 12:12 BHN

12 Alipotambua hivyo alikwenda moja kwa moja mpaka nyumbani kwa Maria mama yake Yohane aitwaye Marko. Humo watu wengi walikuwa wamekusanyika wakisali.

Kusoma sura kamili Matendo 12

Mtazamo Matendo 12:12 katika mazingira