Matendo 12:14 BHN

14 Huyo msichana aliitambua sauti ya Petro akafurahi mno, hata badala ya kuufungua ule mlango, akakimbilia ndani na kuwaambia kwamba Petro alikuwa amesimama nje mlangoni.

Kusoma sura kamili Matendo 12

Mtazamo Matendo 12:14 katika mazingira