Matendo 12:15 BHN

15 Wakamwambia yule msichana, “Una wazimu!” Lakini yeye akasisitiza kwamba ilikuwa kweli. Nao wakamwambia, “Huyo ni malaika wake.”

Kusoma sura kamili Matendo 12

Mtazamo Matendo 12:15 katika mazingira