Matendo 12:16 BHN

16 Wakati huo Petro alikuwa anaendelea kupiga hodi. Mwishowe walifungua mlango, wakamwona, wakashangaa.

Kusoma sura kamili Matendo 12

Mtazamo Matendo 12:16 katika mazingira