Matendo 12:17 BHN

17 Petro aliwaashiria kwa mkono wakae kimya, akawaeleza jinsi Bwana alivyomtoa gerezani. Kisha akawaambia watoe taarifa ya jambo hilo kwa Yakobo na wale ndugu wengine, halafu akatoka akaenda mahali pengine.

Kusoma sura kamili Matendo 12

Mtazamo Matendo 12:17 katika mazingira