Matendo 13:10 BHN

10 akasema, “Mdanganyifu wa kupindukia na mlaghai wewe! Wewe ni mtoto wa Ibilisi! Wewe ni adui wa chochote kile kilicho cha kweli; hukomi hata mara moja kujaribu kuzipotosha njia za Bwana zilizonyoka.

Kusoma sura kamili Matendo 13

Mtazamo Matendo 13:10 katika mazingira