Matendo 13:11 BHN

11 Sasa, mkono wa Bwana utakuadhibu: Utakuwa kipofu na hutaweza kuuona mwanga wa jua kwa kitambo.” Mara kila kitu kikawa kama ukungu na giza kwake, akaanza kwenda huku na huko akitafuta mtu wa kumshika mkono amwongoze.

Kusoma sura kamili Matendo 13

Mtazamo Matendo 13:11 katika mazingira