Matendo 13:12 BHN

12 Yule mkuu wa kisiwa alipoona hayo, aliongoka akawa mwaamini; akastaajabia sana mafundisho aliyosikia juu ya Bwana.

Kusoma sura kamili Matendo 13

Mtazamo Matendo 13:12 katika mazingira