Matendo 13:24 BHN

24 Kabla ya kuja kwake Yesu, Yohane alimtangulia akiwahubiria watu wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.

Kusoma sura kamili Matendo 13

Mtazamo Matendo 13:24 katika mazingira