Matendo 13:25 BHN

25 Yohane alipokuwa anamaliza ujumbe wake aliwaambia watu: ‘Mnadhani mimi ni nani? Mimi si yule mnayemtazamia. Huyo anakuja baada yangu na mimi sistahili hata kuzifungua kamba za viatu vyake.’

Kusoma sura kamili Matendo 13

Mtazamo Matendo 13:25 katika mazingira