6 Walitembea toka upande mmoja wa kisiwa mpaka Pafo, upande wa pili, na huko walimkuta mchawi mmoja Myahudi aitwaye Bar-yesu ambaye alijisingizia kuwa nabii.
Kusoma sura kamili Matendo 13
Mtazamo Matendo 13:6 katika mazingira