Matendo 13:7 BHN

7 Huyu alikuwa pamoja na Sergio Paulo, mkuu wa kile kisiwa, ambaye alikuwa mtu mwelewa sana. Sergio Paulo aliwaita Barnaba na Saulo ili asikie neno la Mungu.

Kusoma sura kamili Matendo 13

Mtazamo Matendo 13:7 katika mazingira