Matendo 14:19 BHN

19 Lakini Wayahudi kadhaa walikuja kutoka Antiokia na Ikonio, wakawafanya watu wajiunge nao, wakampiga mawe Paulo na kumburuta hadi nje ya mji wakidhani amekwisha kufa.

Kusoma sura kamili Matendo 14

Mtazamo Matendo 14:19 katika mazingira