Matendo 14:20 BHN

20 Lakini waumini walipokusanyika na kumzunguka, aliamka, akarudi mjini. Kesho yake, yeye pamoja na Barnaba walikwenda Derbe.

Kusoma sura kamili Matendo 14

Mtazamo Matendo 14:20 katika mazingira