Matendo 15:3 BHN

3 Basi, kanisa liliwaaga, nao walipokuwa wanapitia Foinike na Samaria waliwaeleza watu jinsi mataifa mengine yalivyomgeukia Mungu. Habari hizo zikawafurahisha sana ndugu hao wote.

Kusoma sura kamili Matendo 15

Mtazamo Matendo 15:3 katika mazingira