Matendo 15:4 BHN

4 Walipofika Yerusalemu walikaribishwa na kanisa, mitume na wazee; nao wakawapa taarifa juu ya yote Mungu aliyoyafanya pamoja nao.

Kusoma sura kamili Matendo 15

Mtazamo Matendo 15:4 katika mazingira